Song of Solomon 3:7-8


7 aTazama! Ni gari la Sulemani
lisindikizwalo na mashujaa sitini,
walio wakuu sana wa Israeli,

8 bwote wamevaa panga,
wote wazoefu katika vita,
kila mmoja na upanga wake pajani,
wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.
Copyright information for SwhKC